Watu hawa wananiboa sana

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,242
2,000
mmetulia mnafuatilia mechi kwenye skrini mnashangaa ghafla watu fulani wanainuka na kuanza kushangilia goli (wkt kwenye skrini goli halijafungwa) baada ya muda ndo mnaona goli linafungwa. ukifatilia utagundua vijamaa vimekaa vina kiredio mkulima kwapani. tabia hii inaniboa sana inaondoa hata ladha ya kuangalia mechi.
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,441
1,250
pole sana Masu, pigeni ban watu kuja na viredio kwenye game... ndo kama wale wanaosimula matukio ya mbele kwenye sinema, kisa wameshaiona... utasikia; Vandame hapo ataruka ukuta; na kweli anaruka... yani watu wengine tabu kweli. Pole sana mkuu.
 
Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,792
1,500
Pole kaka,inawezekana Suarez hajazoea pesa mingi,leo hajafunga wa kung'ata mtu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,242
2,000
pole sana Masu, pigeni ban watu kuja na viredio kwenye game... ndo kama wale wanaosimula matukio ya mbele kwenye sinema, kisa wameshaiona... utasikia; Vandame hapo ataruka ukuta; na kweli anaruka... yani watu wengine tabu kweli. Pole sana mkuu.

Inakera kiukweli. mechi ya leo ya liver wkt etoo anahaha kumtoa sakho nje ya reli tunashangaa jamaa wanatupa ngumi hewani kwa shangwe na hoihoi.wengine tukabak tunawashangaa
 
Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
pole sana Masu, pigeni ban watu kuja na viredio kwenye game... ndo kama wale wanaosimula matukio ya mbele kwenye sinema, kisa wameshaiona... utasikia; Vandame hapo ataruka ukuta; na kweli anaruka... yani watu wengine tabu kweli. Pole sana mkuu.

Kiswahili kipana sana! ATARUKA UKUTA?
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,892
2,000
Hao kwa kweli huwa wanakera sana, ila huo ni ushamba, kama mtu alitaka kusikiliza mpira ktk radio kwanini amekuja kuangalia. Hao wengi wao sio wapenzi wa mpira bali ni wale wacheza kamali ambao mpira wanashabikia kwa kuwa wamebet, maana shabiki wa ukweli hana mna wa kukatia denge kitu ambacho amefuata kuona kama naye yupo old trafford.
 
omary mwene

JF-Expert Member
Nov 6, 2013
293
0
Kwetu walikuwepo sema tuliwapa bun mpaka leo hawazingui tena....
kama vipi wapeni mitusi mara tatu tu utaona kimya....
 
kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,259
2,000
Mi mwenyewe uwa nasikia hasira, lijitu linaanza kushangilia kabla, tena ukute timu yako ndo imepigwa goli.
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,242
2,000
Hao kwa kweli huwa wanakera sana, ila huo ni ushamba, kama mtu alitaka kusikiliza mpira ktk radio kwanini amekuja kuangalia. Hao wengi wao sio wapenzi wa mpira bali ni wale wacheza kamali ambao mpira wanashabikia kwa kuwa wamebet, maana shabiki wa ukweli hana mna wa kukatia denge kitu ambacho amefuata kuona kama naye yupo old trafford.

True inawezekana ni haohao
 
st.ignatues loyolo

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
231
0
Angalieni msichomane moto kama wanaigeria kisa MUFC vsARS.soka sipo ila soka liitwe soka bloodshed waachieni boko haram,Alqueda,Alshaabab na Waislam wengine.Aibu sana shabk kauwawa kisa kashangilia goli jukwaa la upinzani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom