Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Afadhali pumba kinaweza kuwa chakula cha wanyama.....PUMBA
Badala ya kuandika hizi pumba ungemalizia usingizi wako ukaamka fresh. Huko kwenye ndoa weye ?Watu Hao Ni Wa Ajabu Sana
Mafanikio yao kiujumla yanatokana na dhuluma pamoja na mfumo mbovu usio na usimamizi bora!
Lakini watu hao bado wamezidi kuonyesha tabia za ajabu sana
Wanashutumu,wanalaumu na kuwalaani sana wasimamizi wa mfumo huo dhaifu!Wanadai kuwa kwa kuwa wao ndiyo chanzo cha hali hiyo mbaya iliyokuwapo basi hawafai tena kuaminiwa kusimamia mfumo huo
Watu hao wenye chuki, ubinafsi, uchoyo,uongo,uzushi na ulaghai wa hali ya juu pia wamejaaliwa weledi mkubwa sana wa kupiga kelele na kulalamika!
Watu hao wapigapo kelele zao wanapenda kila mtu katika jamii awasikie!
Sasa Mungu amejibu mlalamiko yao ipasavyo!
Lakini watu hao bado wanazidi kuishangaza jamii kwa kuendelea kulalamika.Watu hao ni wa ajabu sana kwani wamesahau kuwa wao ndiyo chanzo halisi kwani ndiyo waliochangia mfumo huo dhaifu
Wamekula sana tena kwa muda mrefu hadi wamevimbiwa na cha ajabu wamesahau!
Wanataka sasa wakabidhiwe usimamizi wa jiko ili waweze kuingia ndani na kujipikia wao wenyewe.Wamewaaminisha wengi wasiokuwa makini kuwa wao ni wapishi wazuri sana na kuwa wakipewa jiko hilo basi kila mtu atafaidi sana!
Hata hivyo Mungu ameshafanya maamuzi yake dhidi ya watu hao wa ajabu!
Hakuna namna watu hao wa ajabu waweza aminiwa na kukabidhiwa usimamizi wa jiko! Dunia ina maajabu hata hivyo pengine ipo siku wataaminiwa na kukabidhiwa usimamizi wa jiko!
Watu wenye mtindio wa ubongo ktk ubora waoBadala ya kuandika hizi pumba ungemalizia usingizi wako ukaamka fresh. Huko kwenye ndoa weye ?
Jitafakari, just look everybody is ridiculing you... ridicule.Watu Hao Ni Wa Ajabu Sana
Mafanikio yao kiujumla yanatokana na dhuluma kwa kutumia mfumo dhaifu uliokosa usimamizi bora!
Lakini pamoja na kunufaika na mfumo huo dhaifu watu hao bado tu wamezidi kuonyesha tabia za ajabu sana.
Wanashutumu,wanalaumu na kuwalaani sana wasimamizi wa mfumo huo dhaifu! Wanadai kuwa kwa kuwa wasimamizi hao ndiyo chanzo cha hali hiyo mbaya iliyokuwapo basi hawafai tena kuaminiwa kusimamia mfumo huo! Wanasahau kuwa kiuhakisia wao ndiyo waliochangia mfumo huo dhaifu mbali na kunufaika nao!
Watu hao wenye chuki, ubinafsi, uchoyo,uongo,uzushi na ulaghai wa hali ya juu pia wamejaaliwa weledi mkubwa sana wa kupiga kelele na kulalamika! Watu hao wapigapo kelele zao wanapenda kila mtu katika jamii anyamaze kimya na kuwasikiliza!
Sasa Mungu wetu amejibu malalamiko yao ipasavyo!
Lakini watu hao bado wanazidi kuishangaza jamii kwa kuendelea kulalamika.Watu hao ni wa ajabu sana kwani wamesahau kuwa wao ndiyo chanzo halisi kwani ndiyo waliochangia mfumo huo dhaifu
Wamekula sana tena kwa muda mrefu hadi wamevimbiwa na cha ajabu wamesahau!
Wanataka sasa wakabidhiwe usimamizi wa jiko ili waweze kuingia ndani na kujipikia wao wenyewe.Wamewaaminisha wengi wasiokuwa makini kuwa wao ni wapishi wazuri sana na kuwa wakipewa jiko hilo basi kila mtu atafaidi sana!
Hata hivyo Mungu ameshafanya maamuzi yake hivyo hakuna namna watu hao wenye tabia za ajabu waweza aminiwa kwa kukabidhiwa usimamizi wa jiko! Dunia ina maajabu pengine ipo siku wataaminiwa na kukabidhiwa usimamizi wa jiko! Hata hivyo kwa upande wangu sioni uwezekano wa Ibilisi kukabidhiwa paradiso.
Hawa Verified User nadhani wako humu ndani kwa kazi maalumu why wote wawe watetezi wa Lumumba?
HAWA SIO WENGINE ILA NI CCMWatu Hao Ni Wa Ajabu Sana

......VUPUMBA
Huyu jamaa yeye ilimradi apost tu Chochote humu!Badala ya kuandika hizi pumba ungemalizia usingizi wako ukaamka fresh. Huko kwenye ndoa weye ?