Watu 9 wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama baharini huko Zanzibar.

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Watu 9 wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama baharini huko Zanzibar.

=====

Watu 9 wahofiwa kufa maji na 10 kuokolewa baada ya boti yao waliokuwa wakisafiria kutoka unguja kwenda Mombasa kuzama baharini huko visiwani Zanzibar.

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom