Watu 50 waliokufa Marekani

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,742
12,035
Marekani imedanganya Dunia kwamba vifo vya watu 50 kuuawa kwa risasi kwa pamoja eti kwamba hijawahi kutokea katika nchi yao.

Hawa ma Cow Boy inajulikana wazi ni Taifa lililoebukia kwenye dimbwi la damu za watu wasio na hatia.

UKWELI NI KWAMBA...Watu wengi wasio na hatia waliouawa kwa pamoja ni Wa marekani wa asili wenye nchi yao(achana na hawa wazungu).

Zaidi ya wamarekani (wa asili) 300 walifyatuliwa risasi na kuuawa kwa pamoja wauwaji wakiwa ni hawa wazungu.
The%2BWorst%2BMass%2BShooting%2Bin%2BU.S.%2BHistory%2BWas%2BNot%2Bin%2BOrlando.jpg

Ilikuwa ni siku ya tarehe 29 December 1890..Maeneno ya Dakota kusini.
The%2BWorst%2BMass%2BShooting%2Bin%2BU.S.%2BHistory%2BWas%2BNot%2Bin%2BOrlando.jpg
 
Back
Top Bottom