pamoja na mtoa habari kutoiandika vizuri habari yake, tunatarajia bakwata itaheshimu utawala wa sheria na kujiepusha na mlipuko wa matamko. wawe bega kwa bega na upande wa mashtaka ili kuhakikisha wanaithibitishia mahakama, pasipokuacha shaka, kuwa kosa limefanyika. kwani wakipigwa bao kortini wasikimbilie fatwa wala matamko.