Watu 15 wafariki katika ajali ya ndege Iran

Watu 15 wafariki katika ajali ya ndege Iran

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Ndege ya mizigo aina ya Boeing 707 ikiwa na watu 16 ndani imepata ajali baada ya rubani kushindwa kuidhibiti wakati wa kushuka katika Uwanja wa Ndege wa Karaj nchini Iran

Watu 15 wamefariki na 1 tu(Mhandisi wa Ndege) ndiye aliyeripotiwa kunusurika katika ajali hiyo.

=================

Fifteen people are dead and one person has reportedly survived the plane crash at Iran’s Fath airport in the city of Karaj.

Only the flight engineer survived after the plane mistakenly trying to land there instead of at the capital Tehran.

Images of smoke and flames rising in the immediate aftermath of the crash have emerged from the runway at Karaj.


Source: news.com
 
R.I.P kwa walio Dedi na Pole zake aliyenusurika....

Hii Ndege ilikuwa inawaumiza vichwa Wamarekani kwani Ndege ilikuwa inatakiwa itumike kwa Miaka kadhaa kama ndege zingine tu kisha ikatwe katwe lakini Wairani walikomaa nayo Tokea upya wake Mwaka 1957 hadi ilipoanguka kwa sababu ya hali ya hewa tu na sio hitirafu... Dege lina miaka 62 kudadeki Ndege nyingi za Irani ni za kitambo zimekuwa zikitumika kila wanapopata spare mpya kimagendo na pale vikwazo viliposimamishwa kwa muda waliweza kufanya shopping ya nguvu ila bado walihitaji technologia ya Israel zaidi sema ndio misimamo yao ni shida japo hutumia third party kununua bidhaa za Israel.

Boeing hawataki kabisa kuamini kitu isiyo na usalama inasafiri bila tatizo hewani kwa kuzidisha umri wa vyuma angani... yaani ishingekuwa hali ya hewa hilo goma lingeendelea kusafiri hadi Mwaka 2057 ladba litimize miaka mia kama Mv Liemba...

Yawezekana sikuzake zilikuwa zimekaribia maana Israel majuzi tu kaikosa kosa kuitungua ilipotua pale Damascus
 
Amesalimika mmoja tu,ilikuwa ni ndege ya iran airforce Boeing 707,ilikuwa imebeba nyama tani 30 kutoka karygstan,undefinedtrip ilikuwa ifanywe na ndege za Revolutionary guard ambao ndo wana ndege makini baada ya kudai malipo ndo ikabidi itumwe ndege ya iran airforce,undefinedikumbukwe Revolutionary guard ni jeshi tofauti na Iran army,revolutionary guard ndo wako na bajeti kubwa la kijeshi kuliko iran army
 
Back
Top Bottom