Watoto wazuri punguzeni njaa

Toragamaganza

Senior Member
May 28, 2016
119
94
Kisa chenyewe kiko hivi,
Bana bana nimepanda daladala pembeni yangu kulikua na mtoto mzuri.
Kufika nikakaa wala hatujasemeshana kila mtu na mpango wake,nilimchukulia mdogo make kiumbo mdogo mdogo na mm sina mpango na wanafunzi.
Safari ilianza hamna kisemeshana lakin nilipokaribia kufika nikaona nimuombe #,Nilimuandikia ujue kupitia cm nikampa asome make alitabasamu. Sikutaka kuongee watu wanatusiki..
Alinijibu hana cm imeibiwa mhmm kwa jinsi kalivyokua kamependeza(kupendeza kunaficha mengi) nikafikilia katakosaje cm ata obama.
Nilihailisha kituo ikabidi nishuke hanaposhuka yeye nitakua nishapata ufumbuzi(jambo ambalo nilijilaumu).

Nikambia sas nakuandikia # yangu we ukitoka nitafute..ohoo sina cm nitakutafutaje sasa...
Nikamwambia we azisha cm kwan shida nn..
Mara kama ungekua na elfu 20 ungenisaidia mm nikaenda kutoa cm yangu kwa fundi alafu nikitoka nikakutafuta
Nikamjibu,cm aina gani hiyo mara ohoo tecno nikamjibu fanya hiv hiyo piga chini mm home S4 sinakazi nayo kama unataka naweza kukupa hiyo na siwez kukupa 20 na sim.
Akutaka kuniacha hiv hiv basi nisaidi elfu tano nikamwambie ss kumbe shida pesa jaribu basi kuifanyia kazi nitakupa yoyote unayotaka.
Akamalizia lakin we kaka bahili,
nikaondoka zangu sijageuka ata nyuma.
 
Aisee...

Kumbuka kutembea na mwanafunzi na mimba ukampa kuna nyundo 30 mzee
 
Una swaga za kizaman sana
17332881_389645051420733_509439445506719744_n.jpg
halafu macho juu juu kama fundi saa aliyepoteza nati
 
"Nihonge nanunua nini kwanini yaani kipi nisichokijua ina TV ndani " Mstari pendwa wa Mkulu wa inji kwenye ngoma ya Mwana Fa
 
Fuata mwanamke wa uwezo wako...
Usijidhalilishe bure....mimi ningetoa hiyo 20 na sijali....itategemea na grade ya msichana mwenyewe alivyo...
 
Ulikuwa na nauli ya kurudi uendako maana tayari ulikuwa ushapitiliza kituo chako halali unaposhukia
 
Back
Top Bottom