dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Ng'ombe halali kitandani, hii mpya au sijaelewa tu mimihao kuwapata rahisi,ila kumbuka ng'ombe halali kitandani.sasa je we upoje? kuanzia muonekano,tabia,pamba na ka status kako.
Kawaida tu. Kwani madame wewe upoje?hao kuwapata rahisi,ila kumbuka ng'ombe halali kitandani.sasa je we upoje? kuanzia muonekano,tabia,pamba na ka status kako.
Mkuu nimekusomaWewe upo wapi? Siku hizi watoto wazuri unawafuata kijijini unakuja kutumia nao mjini wakipata akili na wewe ushapata mtaji wa kufuata mrembo mwingine!!!
Watu wanachoma mafuta wanaingia hapo Singidani hapo kuna toto za Kinyaturu hatari sana au ziwa Victoria visiwani kule au kama huogopi sura teremka hapo Mbeya!
Mjini wameishakwisha yamebaki majina tu, miili ishachomwa na vipodozi nywele zimeng'ooka na wigi kitambo!
Tafuta fedha utapata watoto wakali hadi utawakimbia.Eti mazee? Wale wadada wazuriii wanaofunga nywele zao ndefu kwa nyuma, wale warefu wenye shape na wanavaa magauni marefu, wale wenye matumbo flat, wale wasiovaa mawigi, mnawatoa wapi?
Mi nakutana na magumegume tu. Aah mpaka ngachoka mimi.
Jamaa kaingia na mdada mkali sana hapa. Ngoja nione kama naweza pata namba maana am sure jamaa hajamuoa bado. Usikute anamfuja tu mtoto mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo hivyo mkuuTehteh...
Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa ananiuliza anatatizo gani...mtaani akienda matembezi anakutana na wanawake wazuri wanatembea na wanaume wa kawaida yeye hadi kawazidi ila yeye hapati hawapati.
Kuna wengine nimewazidi mkwanja lkn wanakuwa na totoz za maanaTafuta fedha utapata watoto wakali hadi utawakimbia.
Wapo wengi tuu wanaranda randa njoo sinza brother