Kasema sio wa kike, ni watoto wa kiume... Wapo wawiliDogo anachezea Mkunyenge wa bodaboda tayari. Jiandae kisaikolojia. Ukiletewa mjukuu usipaniki.
Kasema sio wa kike, ni watoto wa kiume... Wapo wawiliDogo anachezea Mkunyenge wa bodaboda tayari. Jiandae kisaikolojia. Ukiletewa mjukuu usipaniki.
Mtoto akichanganya mambo mawili moja itamshida, mimi naona kusoma ni muhimu kuliko huo mchezo.Mashaka yangu yapo kwenye hicho kiasi cha pesa, lkn hiyo michezo ipo sana tuu na watoto wanacheza huko shuleni. Watoto wameshajifunza kubana matumizi ya hela wanazopewa, mm nachoona waelimishe wajue mabaya na mazuri, wasaidie kufanya maamuzi mazuri kwa faida yao wenyew.
Zama za kuwa mtemi na kuwakataza watoto kila kitu zimepitwa na wakati, mm nayeshinda na watoto mda mwingi nalishuhudia hili.
Hila walimu tunawabebesha mzigo mkubwa wa lawama, kwani ni walimu ndio wanawapa hao wanao hiyo michango ya tsh 500 wanazopeana?Mkuu ni watoto wa kiume na ni melichunguza zaidi nimegundua ni kweli hivo vikundi vya kuwekeana hiyo pesa......ila udhaifu uko kwenye waalimu ni wazembe kugundua kitu kama hiki.
Hiyo hela atakuwa na bodaboda anamla na anamhonga unless otherwise ni mkeo ana buzi analichuna sasa tabia yako ya kupekuwa kwenye nguo zake imemfanya ahamishie hela kwa watoto akatunze huko.
Hakuna mtoto wa kuwa na zaidi ya shilingi elfu kumi tu asiseme kwa wazazi wake.
Umezibwa macho na masikio huoni husikii na huelewi.
Pole yako
Usemalo n kweli lkn maisha yamebadilika kwa sasa watoto wanapaswa kufundishwa skills za kuja kuwasaidia maishani, anaweza akasoma mwisho wa siku elimu ya darasani ikamfanya kulilia ajira.Mtoto akichanganya mambo mawili moja itamshida, mimi naona kusoma ni muhimu kuliko huo mchezo.
Kweli kabisaChunguza zaid inawezekana kuna mtu kashaanza kumchezea mtoto na anamuhonga hela na kwakua mtoto anapata nahitaji yote ataweza kusave tu.
Maana mchezo wa 500 Hadi ifike hatua ya kugawana 150k siyo kaz rahisi kwa mtoto.
Au mbane akuonyeshe huyo mchangishaji wao wa vikoba na umuhoji akufafanulie kuna vtu utagundua zaid
Fafanua zaidi hiyo hatari ini ipi?