watoto wamelala eh!!!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951



"Dear God, this winter please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cell phone and computer, and build shelter to the homeless men who sleep with mum when dad is at work...please assist my parents to stop fighting at night so that they can sleep well in your name....Amen."
 

amen, let it be so..............
 
its so sweet of her!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ngoshwe nimecheeeeeeeeeeeeeeeeeeka nikashindwa kuitikia sala lol!!!
 
Oohhh mwanangu mpendwa weweeee..!

Mungu akubariki mwanangu, ukue na kuwa na busara!

Wazazi na tujifunze kuwa ni hatari sana kutunza vitu vya namna hiyo katika simu na kompyuta~
Lakini pia usiku tusifanye kama vile dunia ni yetu wawili, tujue kuna watoto upande wa pili wa ukuta, so tupunguze sauti wakati wa kucheza mganda na kuimba nyimbo za kimakonde!...huh!
 
Mtoto mjuaji huyu. Sala imekaa kimpangilio hivyo. She knows something ...
 
Ameeeen!
She must very bright, Good pray
Laiti wangekuwepo watoto wawili wakawa na akili za namna hii. basi msamaha nje nje
Thank you for the post ndugu, it is very nice.
 
Oohhh mwanangu mpendwa weweeee..!

Mungu akubariki mwanangu, ukue na kuwa na busara!

Wazazi na tujifunze kuwa ni hatari sana kutunza vitu vya namna hiyo katika simu na kompyuta~
Lakini pia usiku tusifanye kama vile dunia ni yetu wawili, tujue kuna watoto upande wa pili wa ukuta, so tupunguze sauti wakati wa kucheza mganda na kuimba nyimbo za kimakonde!...huh!:drum: Hapo mkuu PJ UMENOGESHA KWELI KWELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…