H Homer Member May 26, 2011 99 22 Nov 18, 2013 #1 Naomba nirudishe tena hili swali: Tutawezaje kukomesha hii tabia? Je, ni watoto wangapi wamepoteza maisha yao bila kujulikana? Ukweli ni kwamba kama kila mtupaji wa hawa watoto angekuwa anakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria, huu ukatili ungeshakoma zamani. Soma kwa mfano: 1) Wanawake bado wanaendelea kutupa au kutelekeza watoto Afrika 2) Wanandoa wanavyoshiriki kuua, kutupa watoto Tarime
Naomba nirudishe tena hili swali: Tutawezaje kukomesha hii tabia? Je, ni watoto wangapi wamepoteza maisha yao bila kujulikana? Ukweli ni kwamba kama kila mtupaji wa hawa watoto angekuwa anakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria, huu ukatili ungeshakoma zamani. Soma kwa mfano: 1) Wanawake bado wanaendelea kutupa au kutelekeza watoto Afrika 2) Wanandoa wanavyoshiriki kuua, kutupa watoto Tarime