Watoto wa Simba au longolongo zetu tu!

Watoto wa Simba au longolongo zetu tu!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Hivi karibuni pamekuwa akisikika sijui ni msemaji wa klabu au nani Jamhuri Kiwelu akisema klabu yake inachezesha watoto katika mechi hizi za ligi, sasa wana JF naomba tufahamishane hao watoto ni akina nani? Je kwenye orodha ya wachezaji wa ligi msimu huu majina yao yalipelekwa TFF?
 
Mkuu acha kujifanya huelewi, ndo wale wale waliopandishwa kutoka timu ya U20, wengine walipandishwa mwishoni mwa msimu uliopita kama Edward Christopher, Jonas Mkude; wengine wakapandishwa raundi ya kwanza ya msimu huu kama Ramadhani Singano, Abdalah Seseme, Haruna Chanongo, Khatibu na wengine wamepandishwa msimu huu raundi ya pili kama Miraji Adam, Kipalamoto, Ismail Mkoko, Said Ndemla, Emily Mgeta. Sasa wanaposema watoto wa Simba usijifanye hujui kuwa relative na wengine kama kina Kaseja, Boban, Kazimoto, Ngasa, Kiemba. Ukitumia neno relativity hata viongozi wazee kama kina Mkapa, Sitta tunawaita vijana wa Nyerere.
 
Nakushukuru mkuu kwa ufafanuzi wako wa hakika (majina), je walioachwa nao je? Maana hapa naona kama wapo kumi na mmoja na ndivo hivo hivo waliopunguzwa idadi yake sawa? Mkuu tiririka na majina yao.
 
Mkuu waliopandishwa toka mwaka jana hadi leo sio hao ni zaidi ya hao, wengine ambao naweza kuongezea ni pamoja na golikipa Abuu, William Lucian, Isihaka Hassan. Kama nilivyosema walikuwa wanapandishwa kwa bunch, kwa hiyo wakipandishwa hawa, U20 nayo inaongezewa wengine kutoka U14 lakini bahati mbaya sana majina siwakumbuki kwa sasa, siku nikiyakumbuka au kuyapata sehemu sitasita kuyaweka hapa.
 
Sasa kweli wewe ni mtu wa mpira au ? Maana swali hili hata WAMA wangeweza kulijibu. Kila timu kitaratibu ilitakiwa kuwa na timu B, yaani U-20. Na ni Simba pekee ambayo imeweza kuwachezesha hawa yosso na ukali wa timu hii unajulikana tangu mwaka jana..
Tatizo wabongo tumelemazwa sana na sera za kutoweza kuchukua maamuzi magumu. Hawa yosso wa Matola, wanajulikana hata mwaka jana mapinduzi cup walipowatoa kamasi lamba lamba ambayo ilishehena first 11. Babu atapewa sana sifa kwa kuchukua uamuzi mgumu...na kikubwa ni kuwajenga confidence yosso hawa na kwa vile ni mzungu basi ataonekana jiniasi lkn hawa walipikwa na akina Matola na wanaojua mpira km mimi sijali hata wakifungwa 10-0 lkn najua hii ni hazina kubwa saana mbele ya safari sio kwa Simba tu bali kwa Taifa (ona list ya Taifa stars B)..
Hii ndiyo njia pekee ya kuachana na wavuta bangi, au mastaa uchwara ambao wanafikiri bila wao timu hakuna, na wapambe wao wanaowapa vichwa..!!
Wakati tunawapika akina Shekhan, William John ect tulishasema walishe hawa watoto, wape vifaa vizuri na wengi hawa wana mapenzi ya kweli na sio machangu kama akina Ngassa, Chuji ect wanaoganga njaa..! Haina haja ya kupoteza hela kwa hao wakongo na warundi waendesha malori, tafuta staa international 1-2 wa kuwasaidia kuwafunza hawa yosso uzoefu wa kimataifa (sio kufakamia viporo asubuhi ect) then wape mechi za kimataifa za kutosha uone moto kwa miaka kadhaa. kuhangaika na shikamoo jazz akina Nsajigwa (huyu kafoji miaka mingi namjua tangu Mecco, ana miaka zaidi ya 50 sasa ..)

Rage aache mambo ya ki CCM, kutetea mafisadi hao akina Maftah ect... !!

Hivi karibuni pamekuwa akisikika sijui ni msemaji wa klabu au nani Jamhuri Kiwelu akisema klabu yake inachezesha watoto katika mechi hizi za ligi, sasa wana JF naomba tufahamishane hao watoto ni akina nani? Je kwenye orodha ya wachezaji wa ligi msimu huu majina yao yalipelekwa TFF?
 
dah aisee kweli ni vzr kutengeneza vipaji vyetu wenyewe na sio kukimbilia magalasa ! Vp wapi matola kwa sasa?
 
Sasa kweli wewe ni mtu wa mpira au ? Maana swali hili hata WAMA wangeweza kulijibu. Kila timu kitaratibu ilitakiwa kuwa na timu B, yaani U-20. Na ni Simba pekee ambayo imeweza kuwachezesha hawa yosso na ukali wa timu hii unajulikana tangu mwaka jana..
Tatizo wabongo tumelemazwa sana na sera za kutoweza kuchukua maamuzi magumu. Hawa yosso wa Matola, wanajulikana hata mwaka jana mapinduzi cup walipowatoa kamasi lamba lamba ambayo ilishehena first 11. Babu atapewa sana sifa kwa kuchukua uamuzi mgumu...na kikubwa ni kuwajenga confidence yosso hawa na kwa vile ni mzungu basi ataonekana jiniasi lkn hawa walipikwa na akina Matola na wanaojua mpira km mimi sijali hata wakifungwa 10-0 lkn najua hii ni hazina kubwa saana mbele ya safari sio kwa Simba tu bali kwa Taifa (ona list ya Taifa stars B)..
Hii ndiyo njia pekee ya kuachana na wavuta bangi, au mastaa uchwara ambao wanafikiri bila wao timu hakuna, na wapambe wao wanaowapa vichwa..!!
Wakati tunawapika akina Shekhan, William John ect tulishasema walishe hawa watoto, wape vifaa vizuri na wengi hawa wana mapenzi ya kweli na sio machangu kama akina Ngassa, Chuji ect wanaoganga njaa..! Haina haja ya kupoteza hela kwa hao wakongo na warundi waendesha malori, tafuta staa international 1-2 wa kuwasaidia kuwafunza hawa yosso uzoefu wa kimataifa (sio kufakamia viporo asubuhi ect) then wape mechi za kimataifa za kutosha uone moto kwa miaka kadhaa. kuhangaika na shikamoo jazz akina Nsajigwa (huyu kafoji miaka mingi namjua tangu Mecco, ana miaka zaidi ya 50 sasa ..)

Rage aache mambo ya ki CCM, kutetea mafisadi hao akina Maftah ect... !!
Mkuu nadhani ningekubali kulisakata kandanda wakati wa akina Ahmed Amasha ungekuwa unanitolea mfano sasa hivi ila nilisituka baada ya kuona nyota ya soka nchi hii inafifia. Tuache hayo, nimekukubali kuwa ni mtu mwenye uchungu wa kuona MABADIRIKO ya kuendeleza soka yakifanyika, mie nahoji kauli mbiu ya huyo jamaa kila azungumzapo na vyombo vya habari akisema msemo huo wakati wachezaji ni walewale akina Kaseja, Ngasa n.k.! Sasa ndio nimetupia swali hapa kuwa msimu huu timu ya Simba imesajiri wachezaji wangapi? Nimekukubali kwa mawazo yako ya MABADIRIKO hasa timu yetu ya Taifa ni kama SHAMBA la BIBI, mchukulie mfano Kaseja huyu alikuwa kipa wake kabla ya mtaalam Maximo kuja, alipowekwa pembeni tu watawala wetu wakafanya mbinu za kuchukiwa kocha na hatimae akaondoka. Fikiria timu aliyokuwa anaijenga hivi sasa ingetufikisha mbaki sana lakini kwa fikra mgando ndio maana Kaseja & co watafia timu ya Taifa na hatutapiga hatua yeyote. Mungu atunusuru.
 
Mkuu waliopandishwa toka mwaka jana hadi leo sio hao ni zaidi ya hao, wengine ambao naweza kuongezea ni pamoja na golikipa Abuu, William Lucian, Isihaka Hassan. Kama nilivyosema walikuwa wanapandishwa kwa bunch, kwa hiyo wakipandishwa hawa, U20 nayo inaongezewa wengine kutoka U14 lakini bahati mbaya sana majina siwakumbuki kwa sasa, siku nikiyakumbuka au kuyapata sehemu sitasita kuyaweka hapa.
Mkuu nakushukuru sana lakini hawa sijawasikia wakicheza kwenye ligi labda mechi za KITALII tu. Nikumbushe mechi ya ligi iliyomkosa Kaseja, Ngasa & co.
 
Muanzisha thread ni shabiki wa Yanga, nae ameshapatwa na mchecheto. Kila siku Yanga wanabadili kauli. Yanga ndio walianza kusema Simba itakiona cha moto kwa kuwa ina watoto. Baada ya mechi kadhaa, Yanga ikaanza kuingiwa na mchecheto, na kocha wao Minziro sasa anasema wale sio watoto! Usishangae baada ya mechi Minziro akailalamikia TFF kwa kuruhusu Simba kuwapandisha 'watoto'
 
Unanipa wasiwasi kidogo kama kweli enzi za akina Amasha gozi ulikuwa unalisukuma na kulijua au la. Kwanza unapoongelea nafasi ya kipa lazima ujue duniani kote hiyo siyo nafasi ya kubadili badili kila siku. Angalia timu zote duniani si klabu au za Taifa. Haraka haraka namkumbuka David Seaman, au hata Reina. Hawa kuna wakati, hasa semana kacheza sana na kafungwa magoli ya kizembe na ajabu ajabu lkn hakutimuliwa au kuachwa. Kama umeucheza, hakuna nafasi muhimu ktk defence kama kipa. Kaseja aliachwa na Maximo kwa fitna, eti alicheka timu ilipofungwa yy akiwa bench. Kibaya, huwezi at times kushindana na data sasa kama data zote yeye bado anaonekana bora utafanyaje ? Ina maana huyu Kim mpaka kumpa u captain nae hajui anachofanya ??

Hao akina Lucian wamecheza mechi nyingi, na ya mwisho juzi ilibidi watolewe maana nasikia kama kawaida Manji alishatia mkono ili baadhi walambe red na kukosa mechi ijayo. Ukiangalia mechi nyingi round ya pili, seniors waliocheza ni Kaseja, Kiemba, Ngasa- ambaye alikuwa anatokea bench au kutolewa second half akianza, Cholo labda na Kapombe. Waliobaki (ktk soka timu ni 18 players ktk roster sio wanaocheza 11 tu) na kama unafuatilia ligi za wenzetu ni kama Aston Villa- yenye average age 22. Yes wanaponea ponea kushuka lakini utaona jinsi walivyowatoa kamasi hata vigogo na mwakani watakuwa moto zaidi..!

Maximo hakuwekwa pembeni, zile zilikuwa siasa za ikulu kuzima kelele za EPA n.k na ndiyo maana mshahara wake ilikuwa siri na alikuwa analipiwa kule kule !!! Kim amewatumia baadhi kama akina Nditi ambao walikuwa na Maximo (mbona yeye alikuwa analazimisha babu Nsajigwa ambaye leo hii ukitaja jina Okwi anaweza kuzimia) lakini pia katengeneza yosso wake aliokuwa nao nyuma.

Mkuu nadhani ningekubali kulisakata kandanda wakati wa akina Ahmed Amasha ungekuwa unanitolea mfano sasa hivi ila nilisituka baada ya kuona nyota ya soka nchi hii inafifia. Tuache hayo, nimekukubali kuwa ni mtu mwenye uchungu wa kuona MABADIRIKO ya kuendeleza soka yakifanyika, mie nahoji kauli mbiu ya huyo jamaa kila azungumzapo na vyombo vya habari akisema msemo huo wakati wachezaji ni walewale akina Kaseja, Ngasa n.k.! Sasa ndio nimetupia swali hapa kuwa msimu huu timu ya Simba imesajiri wachezaji wangapi? Nimekukubali kwa mawazo yako ya MABADIRIKO hasa timu yetu ya Taifa ni kama SHAMBA la BIBI, mchukulie mfano Kaseja huyu alikuwa kipa wake kabla ya mtaalam Maximo kuja, alipowekwa pembeni tu watawala wetu wakafanya mbinu za kuchukiwa kocha na hatimae akaondoka. Fikiria timu aliyokuwa anaijenga hivi sasa ingetufikisha mbaki sana lakini kwa fikra mgando ndio maana Kaseja & co watafia timu ya Taifa na hatutapiga hatua yeyote. Mungu atunusuru.
 
Mkuu nakushukuru sana lakini hawa sijawasikia wakicheza kwenye ligi labda mechi za KITALII tu. Nikumbushe mechi ya ligi iliyomkosa Kaseja, Ngasa & co.
Isihaka na Abuu ndo hawajacheza mechi za ligi lakini wapo kwenye timu, William Lucian kacheza kama mechi tatu au mbili. Ngasa mara nyingi hachezi dakika zote tisini, anaanzia benchi au anatoka kipindi cha pili, hata mechi tuliyocheza na Mgambo JKT, Ngasa hakucheza kabisa. Kaseja alikaa benchi mechi nyingi tu zinaweza kufika hata tano, mechi dhidi ya Azam hakucheza, hata ile ya Coastal pia hakucheza. Kama unafuatilia vizuri kuna wachezaji kama watatu ambao kama wamekosa kucheza basi ni mechi moja ambao ni Kiemba, Kapombe na Chollo.
 
Mkuu kwa sie tuliopo mikoani ni ngumu kidogo kufuatilia mechi za Yanga na Simba kwa kuwa ni marufuku kuoneshwa na TV. Huwa tuko mbele ya TV kuangalia mechi za Ulaya 'live' ila matokeo ya timu hizo ndo tunapata kupitia radio tuu. Maendeleo haya.
 
Unanipa wasiwasi kidogo kama kweli enzi za akina Amasha gozi ulikuwa unalisukuma na kulijua au la. Kwanza unapoongelea nafasi ya kipa lazima ujue duniani kote hiyo siyo nafasi ya kubadili badili kila siku. Angalia timu zote duniani si klabu au za Taifa. Haraka haraka namkumbuka David Seaman, au hata Reina. Hawa kuna wakati, hasa semana kacheza sana na kafungwa magoli ya kizembe na ajabu ajabu lkn hakutimuliwa au kuachwa. Kama umeucheza, hakuna nafasi muhimu ktk defence kama kipa. Kaseja aliachwa na Maximo kwa fitna, eti alicheka timu ilipofungwa yy akiwa bench. Kibaya, huwezi at times kushindana na data sasa kama data zote yeye bado anaonekana bora utafanyaje ? Ina maana huyu Kim mpaka kumpa u captain nae hajui anachofanya ??

Hao akina Lucian wamecheza mechi nyingi, na ya mwisho juzi ilibidi watolewe maana nasikia kama kawaida Manji alishatia mkono ili baadhi walambe red na kukosa mechi ijayo. Ukiangalia mechi nyingi round ya pili, seniors waliocheza ni Kaseja, Kiemba, Ngasa- ambaye alikuwa anatokea bench au kutolewa second half akianza, Cholo labda na Kapombe. Waliobaki (ktk soka timu ni 18 players ktk roster sio wanaocheza 11 tu) na kama unafuatilia ligi za wenzetu ni kama Aston Villa- yenye average age 22. Yes wanaponea ponea kushuka lakini utaona jinsi walivyowatoa kamasi hata vigogo na mwakani watakuwa moto zaidi..!

Maximo hakuwekwa pembeni, zile zilikuwa siasa za ikulu kuzima kelele za EPA n.k na ndiyo maana mshahara wake ilikuwa siri na alikuwa analipiwa kule kule !!! Kim amewatumia baadhi kama akina Nditi ambao walikuwa na Maximo (mbona yeye alikuwa analazimisha babu Nsajigwa ambaye leo hii ukitaja jina Okwi anaweza kuzimia) lakini pia katengeneza yosso wake aliokuwa nao nyuma.
Kama utakuwa unamkumbuka marehemu Subira Mambo basi habari ndio hiyo, sasa hivi mkuu niponipo tu kama 'veteran' tuu na kujishughulisha na mambo mengine lakini kwa kuwa mpira upo kwenye damu basi huwa nakereka na mambo ya 'business as usual' ya nchi hii.
 
Muanzisha thread ni shabiki wa Yanga, nae ameshapatwa na mchecheto. Kila siku Yanga wanabadili kauli. Yanga ndio walianza kusema Simba itakiona cha moto kwa kuwa ina watoto. Baada ya mechi kadhaa, Yanga ikaanza kuingiwa na mchecheto, na kocha wao Minziro sasa anasema wale sio watoto! Usishangae baada ya mechi Minziro akailalamikia TFF kwa kuruhusu Simba kuwapandisha 'watoto'
Mkuu kwa wale waliobahatika kuliona soka letu katika miaka ya sabini sasa hivi ni 'pressure' tuu-yaniniiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom