Mkuu Akikujibu nitag
Kwangu ni mtoto. Mengine uliyosema siwezi kujuaHuyo ni mtoto au mkubwa mwenzio anajipendekeza zali la mentali limuangukie?
Ana akili timamu tena pengine ni member wa JF anajua wewe ni senior bachelor.
Hapo pengine ushalishwa na kuwekea vitu vya ajabu kaona havifanyi kazi kaamua kuwa aggressive.
Sijui unasubiri nini kumfukuza na red flags zote umezishaona.
Sina
Kuweka heshima ni kumgegeda? Hell no...sitembei na watoto. Naweka heshima kwa kutotembea nae.Ok...sasa ni hivi. .
Ungekuwa na mke ungemkanya huyo mtoto akuheshimu kama baba wa familia..
Kwa kuwa huna, me nashauri angalia kama anamvuto, weka heshima,,, shushia na sprite ya baridi....ila chunga..ukimpa mimba ndiyo kashakuwa wife ivoo..
Basi unacheza na hisia za mtoto wa watu.Hajali....