Watoto Wa siku hizi ni shida!!

Watoto Wa siku hizi ni shida!!

Nilicho jifunza kwa hawa ngozi nyeupe ni kwamba wana akili sana,,,hapo ingekua ni hii ngozi nyeusi basi tungeshuhudia miguu ndio ingetangulia badala ya kichwa..
Ingekua hiki kizazi cha Afrika mtoto angekuwa anavutwa kwa miguu kabisa kama ndama. Afu huyo msichana angekua kapanua mdomo anapiga mayowe na kurusha matusi! Apo chini wangekuwa wametandika nyasi ni kama kuku anatega yai. Hehe waafrika tuko creative kuzidia!
 
Back
Top Bottom