hamna mtoto tena hapo,cha msingi ampe tu uhuru wake anao utaka, ipo suku atajutia na siku zote mshahara wa dhambi ni mauti,yeye mzee ajiandae tu kulea wajukuu wasio kuwa na baba, na ajiandaye na kuzika,
Bandiko linaboa, halina nukta, koma na hata paragraph! Kweli huu ndio uandishi wa kileo
baba ni mkali ni mkurya akipiga anapiga kweli na anamvua nguo zote
Umesema huyo baba anamvua nguo mtoto kabla ya kumtandika? Baba anamvua nguo binti wa miaka 15?
Did I get that right?
Bandiko linaboa, halina nukta, koma na hata paragraph! Kweli huu ndio uandishi wa kileo
naongezea, inaonekana mwandishi hajuwi matumiza ya h, anachapia tu, sijuwi kifimbo yuko wapi jamani. Hafu, hawa wanao post mada bila kuzingatia matumizi sahihi ya herufi H waniboa sana, utakuta neno ku-ha-ribika anaandika ku-a-ribika.
jaribuni kurekebisha msituingizie lugha zenu za asili kwenye kiswahili.
Mbona mambo yenyewe yapo nusu nusu?Jamani leo nimepitiwa na jirani yangu akaniomba nimsindikize police nilipomwoji kuna nini akaniambia binti yake amemshitaki na jana ucku police walikuja na defender kumpa taarifa anaitajika na mkuu wa kituo bahati nzuri alishanisimulia kisa cha binti yake ni mdogo ajafikisha miaka 15 lakini visa anavyofanya siwezi kusimulia kalifeli la saba babayake akamlipia arudie la saba tena usiku alikuwa alali ndani anakokwenda aijulikani mpaka alipofumaniwa baba ni mkali ni mkurya akipiga anapiga kweli na anamvua nguo zote kibaya zaidi alitoroka om kama wiki baba akatoa taarifa police akapewa rb mtt alipokuja kuonekana aliyosimulia ni aibu tupu akasamehewa akarudi om ajachukua mda alipoona baba anazibidi ile mianya yake yakufanya ufisadi ikiwemo ya tuishein baada yakubainika alikuwa na mahusiano na mwl anayemfundisha ndipo alipoamua kutoroka tena akakimbilia kwa jirani kina mama wa mtaani wenye bifu na baba yake wakamshauri akashitaki polic wakampa na maelezo yakutoa uku wakitamba atakoma tulipofika polic leo tulipokelewa vizuri sana na mkuu wa kituo kizuri zaidi mkuu hyo akatusimulia chake cha wiki2 zilizopita kwamba binti yake amemsumbua kuliko wa jirani yangu alitusimulia tukaona kesi yetu ni kiduchu na alipiga mpaka akazimia alizindukia amana so kesi ilienda softi binafsi nilifurahishwa najinsi alivyo tuhudumia
mkuu ebu jisahihishe kabla ujasahihisha umemaliza kuandika mwisho ujaweka nukta.
alafu alafu kama unataka mpangilio wa paragraph nenda jukwaa la lugha kule utakutana na mabingwa wenzako wa maparagraph ndio mana napenda JF limesheheni kila hitaji akuna atakaesema kaonewa jukwaa la matangazo, mapenzi, sayansi nk.
hamna mtoto tena hapo,cha msingi ampe tu uhuru wake anao utaka, ipo suku atajutia na siku zote mshahara wa dhambi ni mauti,yeye mzee ajiandae tu kulea wajukuu wasio kuwa na baba, na ajiandaye na kuzika,