Watoto wa rafiki wa mke wangu ni wangu, nawahitaji

Yaani huyu mkaka mimi simuelewi hata kidogo na sidhani kama hata yeye anayaelewa maisha yake ya kimahusiano. Namhurumia sana mkewe kama hizi story zote ni za kweli.
 
Wiyelele The DRAMA KING. . .bado story nyingine mbili tatu tuku crown EMPEROR WIYELELE I of BONGOLANDIA. Dah huishiwi visa, ex-gf, mara wife mvivu, mara Hg ni mzuri kuliko mkeo. . .Oh now Bob's your uncle umekuja na nyingine tena.
Aisee unahitaji ushauri wa nguvu wa kisaikolojia.
Cherio.. .
 
Last edited by a moderator:
interesting. in that case u can legally take them depending on the judge's decision and how u present ur case. BTW kutaka watumie jina lako sio convincing case for a judge lakini try it out. goodluck and may the worst not happen
 
Ndo maana nalia hapa mnisaidie jamani
 
interesting. in that case u can legally take them depending on the judge's decision and how u present ur case. BTW kutaka watumie jina lako sio convincing case for a judge lakini try it out. goodluck and may the worst not happen

How about the issue that i interfered with another man's marriage?
 
Mmmmh!angejiheshimu na angekuwa na busara asingediriki kuzaa na mume wa rafiki yake!

Huyu mwanamke anajiheshimu sana na mwenye busara! Sina urafiki nae wa kimapenzi isipokuwa ikifika wakati wa kuhitaji mtoto tu! Kwa hili namtetea? Thuko wangapi? Mi na mke wangu nae na mme wake tu!
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa 'una shida na hujui zitaishaje'! Hivi hizi kashkash kweli ni zako mwenyewe tu kila uchao?
 
Yaani huyu mkaka mimi simuelewi hata kidogo na sidhani kama hata yeye anayaelewa maisha yake ya kimahusiano. Namhurumia sana mkewe kama hizi story zote ni za kweli.

Kama huamini naweza kupa post vielelezo hapa, ila nitakuwa nawadhalilisha watoto wangu
 
endelea kuwauzia chai....
 
Dhambi iko wapi wakati nimewaletea heshima?
Heshima unaoina kwako pekee ila kwa wengine umefanya dhambi na bado unaitetea,binadamu anahitaji mambo mengi ili aweze kuishi si heshima pekee.
 
Yaani huyu mkaka mimi simuelewi hata kidogo na sidhani kama hata yeye anayaelewa maisha yake ya kimahusiano. Namhurumia sana mkewe kama hizi story zote ni za kweli.

Mm huyu kaka mm huwa ananishangaza sana, maana kila siku anakuja hapa kwenye jukwaa anamsema mkewe , leo anuja na hili ambalo ni kubwa sana , kiasi ambacho linaweza gharimu hata maisha yake. MM kwa kweli simuelewi kabisa huyu kaka . I WISH NINGEMUONA ALIVYO.
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa 'una shida na hujui zitaishaje'! Hivi hizi kashkash kweli ni zako mwenyewe tu kila uchao?

Hizi kashikashi hazijaanza leo, ni za siku nyingi ila ndo nataka zinitoke niachane nazo
 
Leo tena??mh kazi ipo!anyway wewe chezea tu sharubu za simba mwenye njaa,majibu/sheria unayoiongelea hapa itakutetea tu ukiwa tayari wamekumaliza!sawa eeh!kadai bwana watoto wako we si ndio kidume cha nchi hii...nenda mkuu usiogope!
 
utajua kwanini unakula chakula kizuri alafu unakunya mavi yananuka then unayakimbia kwa harufu mbaya .utashuhudia wakichinjwa kama kuku hao watoto
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…