Watoto wa rafiki wa mke wangu ni wangu, nawahitaji

Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Points
1,170
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1,170
Mkuu naona umeishaamua,fanya unachofikiria ila bahati mbaya hutakuja hapa tena kutoa ushuhuda maana UTAKUFA samahani lakini.
Wewe utaishi milele hapa duniani?
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,141
Points
1,225
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,141 1,225
Wiliyeye una makubwa sana ,
kila siku unakuja na jipya Khaa! unanishangaza sana, halafu unalalamika
kuwa mkeo hakuheshimu, hakupokei mzigo , hakujali kwa hayo tena sijui
itakuwaje, Duh! Mimi naona mwisho wa maisha yako umekaribia sana , sasa
ukitaka kuthibitisha hilo nenda kwenye hiyo nyumba kadai watoto wale ni
wako. Unajua kwa nn Ng'ombe hana meno ya juu!!!
Yaani huyu mkaka mimi simuelewi hata kidogo na sidhani kama hata yeye anayaelewa maisha yake ya kimahusiano. Namhurumia sana mkewe kama hizi story zote ni za kweli.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,064
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,064 2,000
k u s a d i k i k a
 
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,963
Points
2,000
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,963 2,000
bt y jamani?....dah,ngoja nipite 2
 
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,207
Points
1,250
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,207 1,250
Wiyelele The DRAMA KING. . .bado story nyingine mbili tatu tuku crown EMPEROR WIYELELE I of BONGOLANDIA. Dah huishiwi visa, ex-gf, mara wife mvivu, mara Hg ni mzuri kuliko mkeo. . .Oh now Bob's your uncle umekuja na nyingine tena.
Aisee unahitaji ushauri wa nguvu wa kisaikolojia.
Cherio.. .
 
Last edited by a moderator:
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Messages
2,280
Points
0
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2012
2,280 0
Inaelekea jamaa hajui kwamba ana tatizo lakini vinasaba hata document nikizianika hapa zinaonesha watoto ni wangu. Suala la kuwachukua watoto limo kwenye makubaliano kwamba "iwapo utawahitaji, tutafanya mazungumzo ambayo yatahusisha pande zote, ikiwepo na kutumia ushahidi na vielelezo kwamba watoto watakaopatikana ni wale ambao wametokana na mahusiano kati yetu"
interesting. in that case u can legally take them depending on the judge's decision and how u present ur case. BTW kutaka watumie jina lako sio convincing case for a judge lakini try it out. goodluck and may the worst not happen
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Points
1,170
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1,170
Wiyelele The DRAMA KING. . .bado story nyingine mbili tatu tuku crown EMPEROR WIYELELE I of BONGOLANDIA. Dah huishiwi visa, ex-gf, mara wife mvivu, mara Hg ni mzuri kuliko mkeo. . .Oh now Bob's your uncle umekuja na nyingine tena.
Aisee unahitaji ushauri wa nguvu wa kisaikolojia.
Cherio.. .
Ndo maana nalia hapa mnisaidie jamani
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Points
1,170
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1,170
interesting. in that case u can legally take them depending on the judge's decision and how u present ur case. BTW kutaka watumie jina lako sio convincing case for a judge lakini try it out. goodluck and may the worst not happen
How about the issue that i interfered with another man's marriage?
 
andishile

andishile

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,430
Points
1,225
andishile

andishile

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,430 1,225
Mmmmh!angejiheshimu na angekuwa na busara asingediriki kuzaa na mume wa rafiki yake!

Huyu mwanamke anajiheshimu sana na mwenye busara! Sina urafiki nae wa kimapenzi isipokuwa ikifika wakati wa kuhitaji mtoto tu! Kwa hili namtetea? Thuko wangapi? Mi na mke wangu nae na mme wake tu!
 
D

Dina

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Messages
3,038
Points
1,500
D

Dina

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2008
3,038 1,500
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa 'una shida na hujui zitaishaje'! Hivi hizi kashkash kweli ni zako mwenyewe tu kila uchao?
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Points
1,170
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1,170
Yaani huyu mkaka mimi simuelewi hata kidogo na sidhani kama hata yeye anayaelewa maisha yake ya kimahusiano. Namhurumia sana mkewe kama hizi story zote ni za kweli.
Kama huamini naweza kupa post vielelezo hapa, ila nitakuwa nawadhalilisha watoto wangu
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,064
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,064 2,000


Nisaidieni jamani. Nilikuwa na msichana ambaye nilimpenda sana, lakini aliolewa wakati sikuwa na pesa. Huko aliko ananyanyaswa sana na mme wake. Siku moja alikuja kwangu amepigwa vibaya akiwa amevimba uso. ila kwa sasa nimeoa na bado anataka turudiane. Mimi nampenda sana kuliko hata mke wangu coz she was my first love! Nayeye mimi i was her first love. Hebu nisaidie
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.

Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.Mimi nina marafiki zangu wengi ambao wanalalamika sana kuhusu wake zao kwamba hawajui mapenzi na hawana muda nao. Kila mmoja nikizidi kumuuliza anasema mke wake ni graduate! Hili ninalipata hata mimi kwenye ndoa yangu. Je nyie wanawake, mkisoma ndo kisa cha kutotambua wajibu wenu wa ndoa? Naona ndoa nyingi zilizotulia ni zile ambazo wanaume wameoa wanawake wenye elimu kidogo tu, labda Std 7 leaver au form 4 failure. Ukimfungulia kijisaluni an tailoring mart, na ukimpatia ki Vitz, anaridhika sana na ukirudi home anakupokea na unajipatia kila kitu kwa starehe! Nawapongeza wenye wake wenye elimu kiasi. Kama hujaoa, jaribu kuwa na girlfriend mwenye elimu kiasi achana hawa wasomi ambao ni mizigo!


Ndugu, kweli mwenzenu ni na shida na sijui zitaishaje. Juzi tu nilikuwa na tatizo la mke wangu na bado halijakwisha. Likaja hili la GF wangu wa zamani. Lakini, ninao watoto wawili nje ya ndoa kutoka kwa rafiki wa mke wangu. Mmoja ni mtoto wa kike (7 yrs) na mwingine wa kiume (4yrs). Rafiki wa mke wangu ambaye bado ana urafiki na mke wangu, alinililia sana baada ya kukaa miaka 2 bila kupata watoto kwamba wasingeweza kupata mtoto. Baada ya kudhibitika kwamba yeye hakuwa na tatizo la kupata watoto na mme wake ndo mwenye matatizo, aliniomba nizae nae watoto. Mimi niliyaweka kwenye maandishi na yeye akakubali kutia sahihi. Watoto hawa ni wazuri na wana afya njema, jamaa hajui lolote na anawapenda sana watoto hawa. Lakini ili niweze kuwalea watoto wangu vizuri, nimeona sasa wakati umefika niwachukue watoto wangu kwa vile tayali ninaushahidi wa kutosha kwamba ni wangu vikiwepo na vipimo vya vinasaba.

Lakini wasiwasi wangu ni kwamba yule ni mke halali wa mtu! Kisheria, japo sio kosa la jinai kuzaa na mke wa mtu, ni kosa la kawaida ambapo naweza kulipa fidia kubwa sana na pengine kutenganisha hata ndoa yao. Mke anataka nimpatie mtoto wa tatu kutokana na mme wake kuhitaji mtoto wa tatu. Sasa nifanyeje jamani? Nisaidie jamani nifanyeje? Mi nataka watoto wangu na sitaki tena kumpatia mtoto mwingine.

endelea kuwauzia chai....
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Points
1,225
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 1,225
Dhambi iko wapi wakati nimewaletea heshima?
Heshima unaoina kwako pekee ila kwa wengine umefanya dhambi na bado unaitetea,binadamu anahitaji mambo mengi ili aweze kuishi si heshima pekee.
 
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
1,561
Points
1,195
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
1,561 1,195
Yaani huyu mkaka mimi simuelewi hata kidogo na sidhani kama hata yeye anayaelewa maisha yake ya kimahusiano. Namhurumia sana mkewe kama hizi story zote ni za kweli.
Mm huyu kaka mm huwa ananishangaza sana, maana kila siku anakuja hapa kwenye jukwaa anamsema mkewe , leo anuja na hili ambalo ni kubwa sana , kiasi ambacho linaweza gharimu hata maisha yake. MM kwa kweli simuelewi kabisa huyu kaka . I WISH NINGEMUONA ALIVYO.
 
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Messages
1,072
Points
1,170
Wiyelelee

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2012
1,072 1,170
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa 'una shida na hujui zitaishaje'! Hivi hizi kashkash kweli ni zako mwenyewe tu kila uchao?
Hizi kashikashi hazijaanza leo, ni za siku nyingi ila ndo nataka zinitoke niachane nazo
 
Mkeshahoi

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Messages
2,478
Points
1,225
Mkeshahoi

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2009
2,478 1,225
wakati unatumika hukujua kuwa yangukukuta haya.... akili kiuno...
 
Kamanda Moshi

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,451
Points
1,500
Kamanda Moshi

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,451 1,500
Leo tena??mh kazi ipo!anyway wewe chezea tu sharubu za simba mwenye njaa,majibu/sheria unayoiongelea hapa itakutetea tu ukiwa tayari wamekumaliza!sawa eeh!kadai bwana watoto wako we si ndio kidume cha nchi hii...nenda mkuu usiogope!
 
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
7,462
Points
1,250
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
7,462 1,250
utajua kwanini unakula chakula kizuri alafu unakunya mavi yananuka then unayakimbia kwa harufu mbaya .utashuhudia wakichinjwa kama kuku hao watoto
 

Forum statistics

Threads 1,334,881
Members 512,144
Posts 32,489,827
Top