Mpatie mtoto wa tatu uendeleze dhambi kubwa ambayo uliiianza tangu mwanzo,jichunguze mwenyewe pia maana inawezekana hata watoto ulionao inawezekana si wako ni wa mwanaume mwingine.
Endelea kucheza na mke wa mtu ila siku moja utakuja jutia maamuzi yako ya kutaka watoto.
Si watu kuchinjana tu bali watoto wenyewe kuchomwa moto wakiwa hai. Hivi unajua hasira ya huyo mwanaume itakavyokuwa baada ya kutambua kwamba sasa anakwenda kuishi bila watoto na aibu ya kwamba alikuwa analea watoto wa mwenzie? Ataona ni heri kufia jela kuliko kubaki na aibu hiyo. Atawachinja hao watoto kama kuku. Kama una akili nzuri waache watoto wakue hadi wawe watu wazima ndipo muangalie namna ya kuwaeleza ili wachague wenyewe wanataka kuwa akina nani. Lakini kwenda kudai watoto wa miaka saba na minne ni kama unataka uwakose kabisa hao watoto. Labda hilo la kuongeza mtoto mwingine mimi nafikiri ni bora ukubaliane na huyo mwanamke kwamba wanatosha hao waliopo. Kuwa na watoto watatu kwenye nyumba ya mwenzio mimi sishauri kabisa.Makubaliano yalikuwa uwachukue utakapo amua?
Acha ubinafsi
Elewa kwamba unenda kugusa hisia za watu na unaweza ukasababisha madhara makubwa hata ikiwezekana watu kuchinjana.
Kwani watoto wanaishi kwa shida kule?
Na angalia hata ndoa yako yaweza dhurika vilevile au mkeo anahabari?
Acha choyo na ufedhuri!
Wiliyeye una makubwa sana , kila siku unakuja na jipya Khaa! unanishangaza sana, halafu unalalamika kuwa mkeo hakuheshimu, hakupokei mzigo , hakujali kwa hayo tena sijui itakuwaje, Duh! Mimi naona mwisho wa maisha yako umekaribia sana , sasa ukitaka kuthibitisha hilo nenda kwenye hiyo nyumba kadai watoto wale ni wako. Unajua kwa nn Ng'ombe hana meno ya juu!!!
Makubaliano yalikuwa uwachukue utakapo amua?
Acha ubinafsi
Elewa kwamba unenda kugusa hisia za watu na unaweza ukasababisha madhara makubwa hata ikiwezekana watu kuchinjana.
Kwani watoto wanaishi kwa shida kule?
Na angalia hata ndoa yako yaweza dhurika vilevile au mkeo anahabari?
Acha choyo na ufedhuri!
Sawa, watoto hawana shida kule, lakini wanatumia jina la ukoo wa jamaa! Nataka watumia jina laungu na hili linawezekana wakija kwenye himaya yangu tu.
wanaume jamani!hawa ndo waume tulionao majumbani!kwa mtindo huu tutapona kweli??? na cha ajabu huyo rafiki wa mkeo anataka mtoto mwingine ina maana bado una uhusiano nae,je huyo mwanamke amefanya hivyo kwa waume wangapi wa marafiki zake?na wewe unasema una kimeo kingine na mkeo,ina maana demu mwingine! LILE TANGAZO LA TUKO WANGAPI?TULIZANA! LIANGALIE UNAWEZA UKABADILIKA MAISHA YAKO,NAKUSHAURI MRUDIE MUNGU WAKO,UACHE UYAFANYAYO!
Sawa, watoto hawana shida kule, lakini wanatumia jina la ukoo wa jamaa! Nataka watumia jina laungu na hili linawezekana wakija kwenye himaya yangu tu.
kwenye mkataba mlikubaliana ungewachukua watoto baada ya muda au umeamua 'kubadili mawazo'? huyo mume hakushtuka kuona mkewe ana mimba wakati yeye ana matatizo au analeta stori za abraham na sarah? anyway goodluck ku-deal na mumewe