Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,832
kwa mtu kama mimi ambaye damu inachemka na Kutojiingiza ktk masuala ya nyeto na ubakaji husiokusudiwa
vilevile Kutokana na huduma mbovuu za machangu Mixa kuwekeana madawa ya kulevya,
Huwa najiegesha kwa visichana vya chuo, Ili nami niwe na stori ya ujana pindi nikizeeka!
Kiukweli Pamoja na huduma wanayonipa hawa mabinti, Kuna jambo wanalonikera sanaaaa, Sasa nimechoshwa na Manyanyaso yao!
Unakuta umekesha nako Gheto mpaka asubuhi, Lakini kakajifanya kako fofofoooo.....Na ukicheki mda wa job ushafika!
Ukimuuliza kulikoni? eti "Niachie Funguo nikuandalie lanchi"
shit!! Yaani kanaanza kujivika u-first lady!!
Sasa sijui vinasoma mda gani hivi vibinti?
Badirikeni Ninyiii!!