Watoto wa afrika

Wamefurahi wenyewe hawana habari. Hapo hawajui bullying ni nini, PlayStation ni nini hadi uzungu utapowaingia wa kudhani mwenzako akikukanyaga basi anaku-bully
 
dah................
 
Wamefurahi wenyewe hawana habari. Hapo hawajui bullying ni nini, PlayStation ni nini hadi uzungu utapowaingia wa kudhani mwenzako akikukanyaga basi anaku-bully

A world of their own...! away from material world n all its stress hatred callamities n misconducts
 
dah................

watoto kama hao huwezi ukawalisha ya dini yangu ni bora kuliko yako wakakuelewa kwakuwa hicho kwao sio kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…