watoto taifa la kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watoto taifa la kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngambo Ngali, Sep 15, 2010.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Katoto.JPG (image)[​IMG]

  watoto wakibeba tofali Morogoro, Tanzania. Hisani ya mpoki.blogspot.com

  Je, Haya ni maisha bora?????????

  Shule wanaenda saa ngapi???????

  Insikitisha sana
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  [​IMG] Karne ya 21, miaka 49 baada ya uhuru?????
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160  [​IMG]

  [​IMG]
  Malengo ya millenia????????? Maji safi na makazi bora kweli tutafika?
   
 4. M

  Malunde JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ninapozunguka vijijini huona huruma kiasi cha kutoa machozi, lakini nakumbuka kuwa machozi yangu hayawezi kuwaondoa watanzania kwenye dimbwi la umaskini huu wa kutisha. Hapa hapa Tanzania mbwa wa mafisadi wanalala pazuri, kunywa maji safi na kula chakula kizuri kuliko baadhi ya watanzania walioko vijijini. Halafu sisi tuendelee kukaa kimya kweli, wandugu wane, tukae kimya kweli.KAMA HATUNA SAUTI ZA KUSIKIKA BASI SAUTI ZETU ZISIKIKE KWA KUPIGIA KURA WATU SAHIHI WATAKAO SHUGHULIKIA MAFISADI AMBAO KWA MTAZAMO WANGU NI MOJA YA VYANZO VIKUU VYA UMASKINI HUU WA KUTISHA. POOR TANZANIANS IN A VERY RICH COUNTRY.
   
 5. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  mnong'oneze kakako, mjombako, dadako, jirani na rafikiyo na hasa wa vijijini. Wasifanye makosa tena
   
Loading...