Watoto mda wote wanataka kucheza tu

"Waacheni watoto wadogo waje kwangu" maandiko ndo yanavyosema na ninafikili ndo maana hata Papa ndo maana akushituka sana aliona ni kawaida tu na akaendelea na hotuba.
 
Nimependa sana , dogo atakuwa makini sana huyu,,,
 
Watoto watabaki kuwa watoto,very curious,like trying new things,challenging,ingenious..You have to be patient with them and to understand that you have to be a kid yourself!!Jamani the pave is so patient with them mpaka raha!!
 
wazazi wake wakichukulia kwa upana zaidi ni kweli,wanatakiwa kumuombea sana siunajua hata shetani hufanya kazi hiyo yakuwabadili mioyo watu walio wa Bwana
 
Masikini, mkuu anapenda watoto lakini taratibu hazimruhusu kuwa na wa kwake mwenyewe!
 
Watoto watabaki kuwa watoto,very curious,like trying new things,challenging,ingenious..You have to be patient with them and to understand that you have to be a kid yourself!!Jamani the pave is so patient with them mpaka raha!!

kunawataalam wanasema Kids are knowing many things to teach us,we must learn from them..!!Like "kwanini baba/mama hauna gari wakati baba/mam flani anawaleta na gari shuleni"simple like that but got million reason to answer that
 
waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie......................
 
Hahahahaaa...niliiona jana BBC ilinifurahisha sana...utoto raha sana
 
atakua ni mtoto wake..............siku hizi RUKSA
 
kunawataalam wanasema Kids are knowing many things to teach us,we must learn from them..!!Like "kwanini baba/mama hauna gari wakati baba/mam flani anawaleta na gari shuleni"simple like that but got million reason to answer that

Kweli kabisa !!! Mkuu kuna toto langu linalazimisha kujenga ghorofa kisa , rafiki yangu anamjengo huo !! Ananipa stress sana harafu wa kike huyo..!!!!!
 
kunawataalam wanasema Kids are knowing many things to teach us,we must learn from them..!!Like "kwanini baba/mama hauna gari wakati baba/mam flani anawaleta na gari shuleni"simple like that but got million reason to answer that

Mkuu ni kweli watoto huwa wanasaidia sana kuamsha nguvu na kasi ya utafutaji maendeleo.
 
Watoto watabaki kuwa watoto,very curious,like trying new things,challenging,ingenious..You have to be patient with them and to understand that you have to be a kid yourself!!Jamani the pave is so patient with them mpaka raha!!
Yes, sie huitaga watoto "Malaika" kucheza nao huwaga baraka na Therapy ya misongo ya maisha... ( God Bless them)..U2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…