mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Binafsi naona hii haijakaa sawa. Hasa pale mzazi mwenye uchungu wa leba unapofurahishwa na mwanao au mwana wa mwenzako kufanya kitendo kama hiki.
Sidharau wanenguaji mauno ila kwa watoto this is too much. Iko wapi ile kauli ya mtoto wa mwenzio ni wako? Pemben hapo kuna jimaa linapayuka utasema GYM instructor kumfundisha mtoto ufuska. Ivi mtu unaeza simama na kua proud kwamba mwanangu anajua kutingisha kalio moja ? Is that what you want her to do when she grows up?
*namshukuru Mungu sikuzaliwa uswahilini (Uza•••••• to be precise ){ukabila its not fare but kuna vitu its deeply hurting, kama wewe umeamua kuishi maisha hayo, kwa nini umvmchagulie na mwanao inauma sana }
Tazama hapa na please tueleze your take kuhusu ili.
Kama parent ama future parent