Wabunge waleta hoja za kutekwa hawako specific, kuna contradicting immaterial facts. Vyanzo vyao havijulikani,mawaziri wanaotuhumiwa kuwatonya hawajatajwa.Kila fact ni incomplete.Such incomplete facts do not establish cause of action at all. Therse are mere rumor mongering as usual. Nitashangaa as a lawyer kuona bunge tukufu linaunda kamati kuchunguza gossip allegations kama hizi. Tuhuma hizi zina gaps/lacunae nyingi sana.No hard facts to support the said allegaltions. Politics at work.