comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
Salaam.
Kutokana na kutofahamu ukomo wa mamlaka ya kazi zao kisheria hasa wateule wa Rais kumeleta songombingo la sintofafahamu baina yao na wabunge kuna, baadhi ya maamuzi wanayatoa wateule wa Rais kwa watumishi wa umma ambayo yanapingana na sheria za utumishi na mamlaka ya ajira hivyo kupigiwa kelele, mfano sakata la Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Paul Makonda kukaidi wito wa bunge, vilevile kugawiwa ekari 1500 za ardhi alizopewa Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mh Paul Makonda suala hilo lilipingwa na Waziri wa Ardhi Mh William Vangimembe Lukuvi, Aidha, kuwekwa ndani kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa amri za wakuu wa mikoa na Wilaya, aidha katazo kutoka kwa Waziri wa afya na ustawi wa jamii Mh Ummy Mwalimu kuwakataza wakuu wa mikoa na Wilaya kutowaweka ndani madaktari wa Mikoa na Wilaya kwani kunashusha morali na pia kumechangia madaktari wa wilaya kuacha kazi mfano amri ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi kutoa amri ya kumuweka ndani Daktari wa moja ya wilaya mkoani Singida hali iliopelekea daktari huyo kuacha kazi suala,hilo limeibua kukinzana kwa maamuzi hivyo kuchanganya wananchi/ watumishi wa umma
Mwananchi