Wateule kupingana na mkuu; dalili za uasi?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
hivi karibuni kumeibuka Tabia Fulani ya wateule walioaminiwa sana na mkuu, kutoa matamko yenye mwekeo wa kupingana na msimamo wake.

pamoja na kwamba Mkuu amekuwa akisisitiza kauli yake ndio kauli yenye nguvu na akisema kitu basi asiwepo wa kupinga, hali imeanza kuwa tofauti kwa wateule wake. ingawa amekuwa akiwaachisha kazi lakini hata wale waliobaki bado kiwango cha kupinga kimezidi kuongezeka.

je, hizi ni dalili za uasi wa wateule thidi ya boss wao?

mfano ni yule Mkuu wa wilaya aliyesema mifugo 3000 imekufa kwa ukame

Mkuu wa wilaya ya Musoma vijijini kutumbuliwa? Aruhusu vyakula kusamehewa kodi wilayani humo
 
Ufalme unaoangamia, kiburi na dhuruma havijawahi kumwinua mwanadamu mbele za Mungu
 
Na yule afisa madini Mkuu aliyegoma kufuta leseni ya dutwa na shinyanga (acacia)

Pia mafuru na dk mwele

Ila wa mamlaka ya hali ya hewa kagoma kufunguka
 
Back
Top Bottom