mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Wakati mkikosoa serikali kwa makosa yake, na kuizomea kwa matendo yake ya aibu, na kuikejeli kwa uhuni wake, Au kuisifia kwa ubwege wenu, kuihusudu kwa ujinga wenu, na kuishabikia kwa sababu ya kukosa taarifa sahihi; wakati mkifanya hayo, mkumbuke kuwatumikia wananchi wa kawaida.