Habari wakuu,
Licha ya serikali kutangaza elimu bure lakini bado kuna baadhi ya shule mfano Shule ya msingi kihonda iliyopo manispaa ya morogoro inachangisha pesa kwa wazazi tsh 2000 kwa kila mwanafunzi kwaajiri ya mtihani wa kufungia shule wa mwezi wa 6.
Kupitia hili jambo kuna maswali nimejiuriza sana kuhusu serikali ya JPM
1. Je pesa inayotoa serikali haihusu gharama za mitihani kwa wanafunzi wote?
2. Je serikali JPM kwanini isitangaze hadharani kwamba imeshindwa kutekeleza sera ya elimu bure?
3. je, hawa wafuatiliaji wa elimu bure wanatumia utaratibu gani kujilizisha kwamba hizo pesa zinazotoka kwaajiri ya elimu zinakwenda mahala husika?
4. Je, wazazi wanashirikishwa 100%?
Mwisho, Serikali ya jpm iwe makini katika kufuatilia mambo maana kuna upotoshaji mkubwa sana unasambaa kutoka kwa walimu wa shule za serikali kwenda kwa wananchi ambao wengi wao hawana elimu, hii inaweza kumtumbua JPM kupitia sanduku la kura 2020.
1.Elimu, 2.Elimu,3.Elimu
Madaraja&reli sio vipaumbele vyetu sisi maskini.