asikuchanganye,amemaanisha kuwa wele watesaji wa dr uli walimhoji kama chadema inahusika na mgomo wa madakitari.huyu mtu kanivuruga kabisa na hii hoja yake..yaani chadema inahusikaje ?
Mleta thread jaribu kufikiri sana kabla ya kuja hapa jamvini!
Mimi kinachonishangaza ni hiki, kwanini CHADEMA wanashangilia sana huu mgomo wa madaktari? kuna nini hapa jamani.
huyu mtu kanivuruga kabisa na hii hoja yake..yaani CHADEMA inahusikaje ?
huyu mtu kanivuruga kabisa na hii hoja yake..yaani CHADEMA inahusikaje ?