Itakua ni life science mazee ambayo ina matawi mengi sana..ila ktk hii naona inahusu zaidi microbiology course ambayo ina deal zaidi na vijidudu ambavyo havionekani kwa macho ya kawaida ila darubini za maabara na uchunguzi wa kina kwa uj umla na inawezekana ni Moja ya course ambayo sio popular sana Tz lakini mtoni inalipa sana na channels za kazi njenje
Sent using
Jamii Forums mobile app[/QUO