kitumbotala JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 516 Reaction score 625 Aug 29, 2017 #1 Habari za mihangaiko wananzengo..ninahitaji Water pump kama kuna mtu anauza tafadhari used lkn iwe katika ubora wa kutumika. **Iwe inatumia Petrol ** Inch 3 Nina 200,000/= taslim kwa kwenye pump tuwasiliane please PM. Nipo Dar naomba tuwasiliane. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mihangaiko wananzengo..ninahitaji Water pump kama kuna mtu anauza tafadhari used lkn iwe katika ubora wa kutumika. **Iwe inatumia Petrol ** Inch 3 Nina 200,000/= taslim kwa kwenye pump tuwasiliane please PM. Nipo Dar naomba tuwasiliane. Sent using Jamii Forums mobile app
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,540 Reaction score 28,294 Aug 31, 2017 #2 Dukani mbona unapata mchina kwa bei hiyo mkuu? Nenda kariakoo shimoni wanapouza zana za kilimo