kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
weka namba yako mkuu. mimi naziuza mpya kabisa kwa bei nafuu. nipo DarNahitaji water pump kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji wakuu,
Iwe ya kutumia Petroleum na pia iwe inch 3
Naomba kujua kama kuna mwenye nayo au amaweza kunisaidia bei zake na picha nikazijua
Asanteni
Mkuu na inch 2 zinapatikana?weka namba yako mkuu. mimi naziuza mpya kabisa kwa bei nafuu. nipo Dar
Bado ipo?Mkuu ninayo nchi tatu, nilikua naitumia mwenyewe, naiuza 250,000, kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Ipo Mkuu, unaitaka?Bado ipo?
Yes nataka pump,naomba unipe detailsna current status yakeIpo Mkuu, unaitaka?
2" ipo kama waitaka ni PMMkuu na inch 2 zinapatikana?
Aina gani?3" mpya bei yake 280,000/= kama vp ni PM
VacsonAina gani?
Diesel,petrol? Other specifications?Vacson
Weka picha yake.Mkuu ninayo nchi tatu, nilikua naitumia mwenyewe, naiuza 250,000, kwa mawasiliano zaidi ni PM.
nisaidie mawasiliano ya wauza pipes (outlets na inlet) mkuu tuendeleze KILIMO KWANZA3" mpya bei yake 280,000/= kama vp ni PM