Water, environment and sanitation engineer

Water, environment and sanitation engineer

chrome

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
401
Reaction score
426
msda mwenye uwezo wa kusaidia kupatikana kwa ajra kwa fani hapo juu anisaidie
 
Halafu kwenye gazeti la mwananchi wametangaza hizo hizo nafasi za kazi…
ni mkoa wa dodoma… wanahitaji mainjinia wa maji na mitambo…
Wahi
 
ndio nipo tayari, ni pm no yako
 
mwenye connection ya kazi hizo anisaidie
 
Back
Top Bottom