Water Dispenser hutakiwi kukosa

biznes_dealz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
392
Reaction score
166
  • Inavuta Maji Kwa Urahisi Zaidi kwenye dumu
  • Ni Ya Kuchaji Na Inakaa Na Chaji
  • Ni Imara Na Bora Zaidi

Bei: Tshs. 35,000 (Tunadeliver Bure Dar es Salaam)

Call/ WhatsApp: +255-659-358-599 I +255-742-786-967

TUNATUMA MIKOA YOTE TANZANIA
Lipia Mzigo Wako Ukishakufikia

Inakuja complete na mtungi wake au vip mazee, maelezo yako bado chenga
 
Ni ya kuchaji yes, vp kama ikiungua spare zinapatikana wapi
 
Mkuu ndio mana nikamuuliza hyo bei ni pamoja na mtungi wake? Coz hicho ki device peke yake sarafu wanauza bei uliyotaja bt ni manual.
Quality na brand ya vitu vinatofautiana, hujakatazwa kwenda unapoona kuna nafuu ila ukishapata matokeo ndio utajua kuwa kupenda nafuu ina gharama zake.
 
hiyo chaji ya nini?? maji yanatoka kwa kubonyeza mahali au ina sensor??
 
hiyo chaji ya nini?? maji yanatoka kwa kubonyeza mahali au ina sensor??
Hiyo chaji ni ya kuchajia hicho kifaa, kikiwa hakina chaji kinawaka taa nyekundu na kikijaa kinawaka taa ya bluu, kukiwasha unabonyeza kwa juu kinafanya kazi.
 
Hiyo chaji ni ya kuchajia hicho kifaa, kikiwa hakina chaji kinawaka taa nyekundu na kikijaa kinawaka taa ya bluu, kukiwasha unabonyeza kwa juu kinafanya kazi.
Hujaelewa swali,
Na umejibu moja tu. Dispenser inahitaji umeme wa Nini?

Unavuta maji kwa Kubonyeza au ina sensor?
 
Hujaelewa swali,
Na umejibu moja tu. Dispenser inahitaji umeme wa Nini?

Unavuta maji kwa Kubonyeza au ina sensor?
Ina cable kama ya simu, unaichaji kwenye deki au kwenye deki, inavuta maji kwa kubonyeza juu ya hicho kifaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…