Watengenezaji wa ticket za Mabasi

Joined
Apr 5, 2020
Posts
29
Reaction score
14
Habari kwa jina naitwa Khadija ni afisa masoko ktk kampuni ya FEKAS GENERAL SUPPLY tunajihusisha na kudizain pamoja na kuprint ticket za mabasi, cargo receipt, invoice, mainfest
Bei
Full color 7500/=
Single color 6000/=
Kwa mawasiliano zaidi
0653 970 936
Tupo Dar es salaam, k.koo, mtaa wa Narung'ombe.

 
Si wamesema wanaleta tiketi za electronic
Sasa itakuwaje
 
Umesema "Kwa Majina" mwisho ukaishia kutaja jina moja tu. Hapo Bora ungesema "Kwa Jina"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…