A
Anonymous
Guest
Maeneo mengi ya vijijini watendaji wamegeuka miungu watu huku wakidai pesa nyingi kwa ajili ya kuwapa hiyo namba
Ikumbukwe waombaji mkopo ni watoto wa masikini kwa asilimia kubwa lakini nchi ipo bize na uchaguzi hamna wa kusema
Watu wanatozwa hadi laki ili apate namba ya utambulisho wa makazi
Watendaji hawakai ofisini kila muda wananchi wanahangaika maofisini watendaji hawapo
Mtoto wa kike anaambiwa njoo nyumbani, nipo nyumbani nafanya kazi nyingine za kiofisi. Ni mazingira hatarishi kwa watoto wa kike.
Pia hii kitu imetengeneza mazingira ya rushwa kwa watendaji
Hivyo HESLB na wakurugenzi na mamlaka zinazohusika zijikite kuhakikisha wananchi wanahudumiwa kwa haki na usawa maana nchi hii ni ya kwetu sote. Inafikia inakuwa ngumu mpaka watu wanatamani kuikimbia.
Mfano mkoa wa Simiyu, nimekutana na hiyo changamoto sana hasa wilaya ya Ushetu, na nyingine
Mungu ainusuru Tanzania, Tunakoelekea ni pabaya uadilifu maofisini unapotea kabisa.