idara ya habari na uenezi kapewa mtu kilaza sana anaitw Tumbo, pia jamaa amewekwa tu ili apate chochote kinywani hahahahahaaaaaa, ila jamani cdm haina mfumo wa maana sana kwenye uendaji, zaidi sana wanamwachia slaa ahangaike tu ila na yeye ni mzee kachoka na anawaza urais 2015, ndio maana mnyika likuwa anafanya issue za uenezi wakati tumbo yupo.
kwa hili cdm walekebishe kabisaa basi wampe hata heche anayependa kuuza sura na kusema kila jambo, hiki kiherehere chake kitasaidia ila sio awe mwenyekti bavicha...nooooooooooooo