Watekaji Wampuuza Simbachawene

Kuna waliosema enzi za Magufuli kuwa kama kuna kitu kibaya Nyerere alituachia ni CCM.

Namimi naongeza,,, kama kuna kitu kibaya Nyerere alituachia ni muungano, hasa na wazanzibar.
 
Inawezakana kumbe shida sio mawaziri wa mambo ya ndani.
Bali mfumo mzima.
Kuna watu Wana nguvu kumshinda waziri wa mambo ya ndani.
Nisamehe masauni, nisamehe bashungwa
 
Huyo Simba Cha ni comedian,


Amesikika akiwamvia polisi chini yake wafanye utafiti kujua kwanini polisi wanaposema wanalinda amani, umma unadai haki.

Sasa kwanini asiagize au kupendekeza IGP na Mafwele wafukuzwe Kisha waanze kudeal na killer's?

Usichukuliwe kirahisi na hizi comedy please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…