Wateja wengine mmh...!

Hivi wanaelewa kuwa humo ndani majani yahaoti?
 
Wanatoka kuchukua hela kutoka kwa kaka zao wabeba boksi wa Ulaya hao.😉😛
 
Huna no zao ukanitumia, mm mewapenda eti na ivi wanaenda bank mpk wamependezaaaaa [emoji3] [emoji3]
 
Majini hayo.mbuzi gani hawaogopi watu?ukikutana nae njiani wewe ndo umpishe.
 
Aisee kweli pesa imeadimika! yaani hadi ma hall ya bank hakuna wanadamu kuna mbuzi!!!!!
 
huu mwez maisha yao huwa hatarin labda wameamua wakatafute hifadhi mahala pengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…