ITV, TBC, EATV, ingia hapa tv4africa.com download software ila unatakiwa kulipa euro 5 kila mwezi ukilipa watakupa password na user name pia utaweza kuangalia tv za mataifa mengine ya africa.
STARTV nenda kwenye website yao yaani startvtz.com halafu bonyeza palipoandikwa startv live then utakuwa hewani tayari.