Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,940
- 1,427
Blog-Tovuti ya Teknohama Bongo - inakuwezesha kutazama michezo kama Football, Basketabll, Tennis na mingine kwenye computer yako Kama una network nzuri (bandwidth)
Iwe ni champions Leagues ya Ulaya, premier Ligi ya UK, Laliga spaain au Italy ha hata NBA basket ball USA utaona live na ratiba ya michezo yote.
Katika blog Tovuti ya Teknohama Bongo - kongo'oli kiunganishi kimeandiwa Tazama michezo live basi utatua kwenye ukurasa wa Michez live. Au unaweza kwenda moja kwa moja kwenue ukurasa huo Michezo Laiv - Teknohama Bongo
Angalizo
Maoni, ushauri, mapendekezo na maswali yanakaribiswwa