eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
Kwenu wadau hivi hivi hii style ya kujiangusha kutoka south Africa mmeipokeaje?? Nimeangalia hawa wanafunzi
nikajiuliza tukiendelea hivihivi basi tutapokea mimba nyingi maana wanaana sio kwa kuacha mapaja njenje hivoKunakoelekea tutaanza kupokea vifo vya watu wakijirusha magorofani wakicheza hii style