mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
.
Hivi sisi taifa letu lina dira au? Maana mpaka leo sijasikia sera ya taifa ni nini maana hata
Ethiopia na njaa yote lakini bado wanasonga mbele na sisi tunaosifika kwa amani tupo tu
Nakumbuka kenya 2008 waliweka mpango wa flyover na baada ya miaka miwili wamekamilisha lakini sisi mwaka 2011 mwezi wa 7 kipindi cha bajeti jpm alisema kua ujenzi umeshaanza lakini mpaka leo amna kitu.Au mnafikiri maendeleo ni kuvaa suti tu maana sasa hivi tuna madokta na maprofesa kila kona lakini bado taifa linaenda mrama.
Kinachotakiwa ni kuwasimanga viongozi tupate maendeleo ya kweli sio kuwasifia tu.
kuna wale wa 7buku leteni matusi lakini huo ndio ukweli