Watatuelewa tu!

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
887
Reaction score
664
Hawapendi pale tunapotokezea kufanya kitu, kwa kuwa wanaamini Mwafrika hawezi kufanya chochote cha maana.lakini hatimaye watatuelewa.
 
Bila maelezo hiyo Video ya dk 17 ni ndefu na itakula GB
hebu waliyoifungua mtuhabarishe, dawa ya muombo imekubaliwa na WHO
maana mm ninayo shambani kwangu, nisije ing'oa
 
Bila maelezo hiyo Video ya dk 17 ni ndefu na itakula GB
hebu waliyoifungua mtuhabarishe, dawa ya muombo imekubaliwa na WHO
maana mm ninayo shambani kwangu, nisije ing'oa
Kwa hiyo uing'oe kwa kuwa WHO ndo waliokupandia shambani kwako?? Akili ya kutawaliwa hii[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…