Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakamata watu 3 wakiwa na nyara za serikali za vipande 5 vya meno ya Tembo eneo la Kibamba Dar es salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.