Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Hata humu wapo.Wanalo la kukujibu bila shaka Kama ndivyo!
kwanini ukuwauliza direct kwenye accounts zao Kama unawajua?
[emoji15] [emoji15]Sample yako umewauliza "wanyarwanda-watanzania" wangapi?. Mimi nina mchepuko pale Kigali baba ni mnyarwanda na mama mtanzania lakini Binti anajitangaza yeye ni Mtanzania. Ni mtamu ajabu.
Anaogopa uhamiaji au yeye ni mhutu?Mkewangu baba mtz mama mnyaru,ukitaka ugomvi nae mwambie we ni Mayeru..ndani hakukaliki!!
Sasa rwanda kuna nini kule kama sio njaa tu? mimi nadhani wana ubinafsi fulani hivi yaani hawaaminiki hao.Tatizo watanzania wanahisi akijitaja wa nje ni kama sifa flan
Rwanda nayo njeTatizo watanzania wanahisi akijitaja wa nje ni kama sifa flan
Hata humu wapo.Ingekuwa vizuri kama ungewauliza mwenyewe wakupe majibu
Kwa ambaye hajafika na hasa kwakuwa hatutoki sana wanaisikia Propaganda zake basi wanaiona kama nchi ya ahadiSasa rwanda kuna nini kule kama sio njaa tu? mimi nadhani wana ubinafsi fulani hivi yaani hawaaminiki hao.
OK wasubiri wakujibuHata humu wapo.
unariiinga.. haya bwanaSample yako umewauliza "wanyarwanda-watanzania" wangapi?. Mimi nina mchepuko pale Kigali baba ni mnyarwanda na mama mtanzania lakini Binti anajitangaza yeye ni Mtanzania. Ni mtamu ajabu.
lakini wa humu hatujajitambulisha kama wanyarwanda bali ni watanzaniaHata humu wapo.
si woteSasa rwanda kuna nini kule kama sio njaa tu? mimi nadhani wana ubinafsi fulani hivi yaani hawaaminiki hao.
Wewe jiulize kwanini wanyarwanda tu ndo wanakimbia kimbia nchi za watu na sio warundi? Burundi kuna wahutu na watutsi kama rwanda lakini watutsi unaowaona bongo wametokea rwanda na sio Burundi, kuna nini kwao hadi wakimbie huko?inaonesha ni jinsi gani wanavyojuta kujikuta wamezaliwa bongo
Watutsi wa Burundi ni wachache sana kuliko wahutu, lakini pia hawakuwahi kupata "kimbari" ikawatoa imani ya kuwa kwao, ila kwa kuadi kidogoWewe jiulize kwanini wanyarwanda tu ndo wanakimbia kimbia nchi za watu na sio warundi? Burundi kuna wahutu na watutsi kama rwanda lakini watutsi unaowaona bongo wametokea rwanda na sio Burundi, kuna nini kwao hadi wakimbie huko?