Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,676
- 6,466
Hatujafika huko mbona .... Ila shida ipo kwetu watanzaniaHapa sio Rwanda aende huko na chuki udini na ukabila wake.
Swissme
Mke wa polepole ujafika huko.Hatujafika huko mbona .... Ila shida ipo kwetu watanzania
Nimejikuta nacheka tu !Mke wa polepole ujafika huko.
Swissme
Hatujafika huko mbona .... Ila shida ipo kwetu watanzania
Lazima ucheke kwa stahili hii watu kama swiss ana miss use mitandaoni kwann wasipotezwe??Nimejikuta nacheka tu !
Uchunguzi unaendelea ondoa shaka mkuu Mungu yupoHatujafika huko! Unaishi dunia ipi! Ben Saanane yuko wapi? Kulikuwa na sababu zipi za kutaka kutoa roho ya Lissu?
Mmeshazoea Kula na kunywa damu na Nyama za watu hatuoni ajabu kusema wapotezwe..badala ya kujibu kwa point unawahi kusema wapotezwe..kama hatujafika huko Ni nini maana ya kumpoteza swisime..kama hatujafika huko Ben saa nane yu wapii..tundu lisu mmemfanyaje??..shame ON U..tupo ndani ya hapo unaposema hatujafika ndo maana Ni rahisi kwako kuwaza mtu kupotezwa badala ya kumjibu kwa kauliLazima ucheke kwa stahili hii watu kama swiss ana miss use mitandaoni kwann wasipotezwe??
Tutashindwa kusaidiwa na dunia pindi yatakapotufika mabaya zaidi, kutoka upande wowote kama inafikia hata dalili mbaya tutaziweka kishabiki.
Wewe. Ndio unaona hivo, ila. nchi iko shwari ba mambo yanaenda kama. KawaMagufulianaiharibu sana hii nchi, watu hawatakiwi kukaa kimya kuachia hilo.
Wewe. Ndio unaona hivo, ila. nchi iko shwari ba mambo yanaenda kama. Kawa
Mkuu, swissme.Hapa sio Rwanda aende huko na chuki udini na ukabila wake.
Swissme
Nimeona Magu anaukabila udini ubaguzi na roho mbaya kwa watanzania na hafai kuwa hata mwenyekiki wa mtaa.Mkuu, swissme.
Sijawahi kukusoma hata siku moja kwa kuisifia Serikali kwa jambo lolote.
Ivi ni kweli hujaona kitu cha maana japo kimoja ambacho serikali ya CCM imekifanya toka Uhuru?
Au kwenye awamu hii ya tano ?
Au kwa sababu tu wewe ni Chama mbadala ambacho wengine wanakiita chama cha Upinzani.
Hivyo na wewe lazima uwe Mpinzani.
swissme
Sio kweli mkuu,Nimeona Magu anaukabila udini ubaguzi na roho mbaya kwa watanzania na hafai kuwa hata mwenyekiki wa mtaa.
Swissme
Yaonekana wewe ni wale watu wasiojulikaSio kweli mkuu,
wewe unataka afanye kazi kama Malaika wakati ni Binadamu kama wewe tu.
Mbona watangulizi wake wote walikuwa wana laumiwa nao.
Sema sasa hivi hii mitandao ndio inawezesha kila mtu kuzungumza na kusikika.
Mimi mbona namwona yuko vizuri tu labda kasoro ndogondogo za kawaida na sina Kadi ya Chama chochote cha Siasa.
swissme