Elections 2010 Watanzania washaamua, bado NEC

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
So far maeneo mengi CHADEMA wanaongoza kama Iringa town,Arusha town,rombo,hai,karatu etc unaweza kuongezea
Sasa ebu tungoje akina Kiravu watasemaje?
Updates zingine ntazipata kesho kichwa kimechoka
 
NEC hawawezi kubadili maamuzi ya watanzania. watu wameshaanza sherehe huko
 
NEC unajua kama ya uraisi lazima watamepelekea JK ili ayabariki matokeo
 
huku zanzibar kama kawaida wananchi wameamua lakini tume wameyapindua kwa mtaji huu sijui chama cha mafisadi wanatupeleka wapi siwaelewi au kama kawaida yao wanasubiri damu imwagike
naomba michangi yenu
 
MATOKEO KABLA YA KUCHAKACHULIWA DR SLAA ALIKUWA ANAONGOZA KWA MBALI,SIJUI BAADA YA KUCHAKACHUA MAANA Thithim HAWAJALALA NI BUSY WAKICHAKACHUA,MABADILIKO mpango mzima:evil:
 
Back
Top Bottom