Habari zenu,
Nipo hapa na mtoto wa darasa la 3, wa kike anamiliki simu ya Nokia N70 nlipotaka kujua zaidi amenijibu mama yake kampa aitumie, nlitaka kujua zaidi kama ni kweli mama yake kampa au lah, nikamwambia anipeleke kwa mama yake, bila hiyana mtoto akakubali nlipofika na baada ya kumwuliza mama yake akajibu ndiyo kampa. Nikarudi huku nikicktka kwakeli.
Kwa hali ya sasa na maendeleo yake c mby kufanya hivo nazungumzia madhara yake.