Watanzania wanaabudu nini Hasa

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
2,071
1,316
Trump asema wamarekani hawaabudu serikali wanamwabudu Mungu. Je hapa kwetu hali ikoje?
3f79e0793f7b75c459cc643a8ac8b761.jpg


 
Ukimsikiliza kila kitu TRUMP utapoteza mwelekeo.
Imani kwa Mungu Us inaporomoka kwa spidi kubwa...
 
Marekani Mungu ni mkubwa na hata kwenye sarafu ya fedha yao waeweka neno " we trust in God"

Hapa Tanganyika watu wanaoabudu kikombe cha Babu ndio wanaotaka watu wote wawe waumini kunywa tpe za Babu

Zanzibar wanaamini mungu kuwa ndio mkubwa na kila wanalo fanyiwa la dhulma mateso, kunyanyaswa na watu wanaoamini kikombe cha Babu wao wamenyamaza kimyya na kuendelea kustahamili na kumuwachia mungu wao kuwatatulia.
 
Back
Top Bottom